• Call Us0653375352
  • Login

Hisabati na Malezi

Mathematics Rising Up Program.

E-Learning

Self Learning Discipline.

Online Classes

Every Child is Capable.

Hisabati na Malezi - Motivate Tanzania Student

Empowers Tanzanian Students in various school through its self learning discipline and mathematics rising up program.

ABOUT US

Motivate Tanzanian Students Empowers Tanzanian Students in various school.

 

KARIBU HISABATI NA MALEZI PROGRAM

Hakikisha mwanao anajua hesabu akiwa darasa la 1, 2, na 3 ili somo la hisabati lisimsumbue darasa la 4, 5, na 6

Usimkatie mwanao tamaa,kuna wazazi wenzako hawajui hisabati ila jitihada zao zimeanza kuzaa matunda...
Mzazi na mwanae wanaweza kukaa wakajifunza pamoja. Kwa upande wangu mzazi ni mtu muhimu sana anayeweza kumsaidia mwanae kuwa bora katika somo la hisabati. Kujisajili na homework class zenye corrections kama hizi na madarasa ya online piga 0653 375352.
.
Walimu wakuu na Walimu wa somo la Hisabati Shule za Msingi karibuni kujifunza mbinu bora kabisa za Hisabati za kuwasaidia wanafunzi wenye changamoto katika somo la hisabati. Kila mwanafunzi ana akili sana za kufaulu Hisabati, ila wanakosa uwezo wa kufundikisha. Huwezi kuwa Mtaalam wa vichwa vigumu kama wewe mwenyewe sio kichwa kigumu. Mwalimu jisajili katika masomo ya online ya mbinu za kufundisha piga 0653 375352.
Motivate Tanzanian Students inakupa fursa Mzazi kujiunga na online course ya Hiasabali na malezi ili uweze kumlea mtoto waku kihisabati na kumsaidia mtoto wako kirahisi pale anapokuja na maswali yaliyomshinda. Wazazi huwa tunateseka sana katika hiki kipengele cha kuwasaidia watoto wetu Home Work. Karibu Ujifunze jinsi ya kumlea mtoto wako kihisabati na kujua hesabu zake. Kujiunga nasi piga 0653 375352

OUR MAIN COURSES

Fusce sem dolor, interdum in fficitur at

 

ACHEIVEMENTS

A wonderful serenity has taken possession of my entire soul, like these sweet mornings of spring which I enjoy with my whole heart like mine.

1000

Graduates

500

Certified Teachers

100

Student Campuses

6285

Students

OUR EXPERIENCED STAFFS

Considering desire as primary motivation for the generation of narratives is a useful concept.

 

WHAT PEOPLE SAYS

Fusce sem dolor, interdum in efficitur at, faucibus nec lorem. Sed nec molestie justo.